Mkuki Na Nyota Publishers

My Body Is For… – Mwili Wangu ni Kwa…

Author(s): Akili and Me, bilingual, body parts, early learning, English, Kiswahili, picture book, Ubongo Kids

Sh 6,000

Kitabu cha picha cha lugha mbili kutoka mfululizo wa Akili and Me, kinachofundisha watoto wadogo viungo vya mwili na kazi zake. Kiswahili na Kiingereza. A bilingual picture book from the Akili and Me TV series, teaching early body vocabulary in English and Kiswahili.

Tunatumia macho yetu kuona, na pua zetu kunusa. Kwenye kitabu hiki, tunajifunza kutambua viungo vya mwili na kazi zake. Furahia kujifunza kwa kupitia vitabu vya Akili and Me, kwa Kiswahili na Kiingereza. Msomee mwanao umsaidie kujifunza kusoma. Faidika na mazoezi ya kufurahisha na ujifunze zaidi.

We use our eyes to see, and our nose to smell. In this book we learn about the different body parts and what we use them for. Have fun learning with Akili and Me books, in English and Kiswahili. Read the books to your child to help them learn to read. Enjoy the fun activities for more learning. A bilingual picture book from the Akili and Me television series, supporting early vocabulary development and body awareness.

Weight 0.2 kg
Dimensions 203 × 254 mm
Binding

Pages

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “My Body Is For… – Mwili Wangu ni Kwa…”

Your email address will not be published. Required fields are marked *